25
DIBAJI Tangu kupata uhuru, serikali ya Uganda imetambua elimu kama haki za kimsingi za kibinadamu, hivyo imetolea kuwapa wananchi wake …
DIBAJI
Tangu kupata uhuru, serikali ya Uganda imetambua elimu kama haki za kimsingi za kibinadamu, hivyo imetolea kuwapa wananchi wake wote elimu bora Rasilimali nyingi zimewekezwa ili kuimarisha upatikana umuhimu, usawa na ubora, vipengele ambavyo vimeboresha miundomsingi kai yanao wanamohuidadhu masingi na kuongezao yanja tofauti za elimu na mafundisho
Serikali inatambua ya kwamba ili kuweza kushindana katika nyanja za kimataifa na kuimarika kiuchumi taifa linahitaji elimu inayowawezesha wananchi kuwa wabunifu, kupata elimu ya kudumu maishani na wanaoweza kufanya kazi zilizo tata na zenye changamoto Elimu pia kawezena inafaa chiwatinan jatu mii, kukata shauri, kufanya kazi bila kufuatiliwa, kuwajibika na pia waweze kusoma, kupiga mambosasa na kupata ujuzi wa kujidhihirisha Maendeleo ya kudumu yanahitaji kila binadamu apate maarifa ya karne ya 21 ujuzi mtazamo na maadi yanayohitajika kudumisha maisha ya siku za usoni Mkayonomaye unatiliwa kweinas kufanya hesabu nchi ya Uganda Imefanya ma endeleo kuhakikisha ubora wa elimu Miradi mbalimbali imewekwa ili kuangazia ubora wa elimu katika madarasa ya chini ya shule za upill
Kitabu hiki, bila shaka, kitaimarisha masomo katika kidato cha kwanza Mpangilio wa masomo unahakikisha ya kwamba wanafunzi wote nchini Uganda wanaweza kusoma na kuelewa ifikapo mwisho wa mwaka Kitabu hiki kimeandikwa kufuatana na mtaala mpya kina mada tisa ambayo yanalenga wakunajimatokeo manatokeo ya utunzau: , wananchi wanaowajibika na wazalendo. wanafunzi ambao wako tayari kujifunza maishani mwao yote, wachangia kwa chanya kwa jamill
Course Currilcum
- JAMII Details 1 year
- Wewe unaishi katika jamil fulani, Kuna mahali muhimu katika mazingira yako Je, ni mahall gani muhimu unajua?
- Muhtasari wa mada – Jamii 10, 00:00
- WATU WA NYUMBANI Details 1 year
- Jel unaishi na nani nyumbani? Taja majina yao na utamke maneno kwa ufasaha. Katika kila neno kuna silabi ngap?
- Hesabu Details 1 year
- Kila siku, sisi hutumia hesabu katika maisha yetu. Je unaweza kutaja hall mbalimbali ambayo hesabu hutumiwa?
- Muhtasari wa mada – Hesabu 10, 00:00
- Wanyama Na Ndege Details 1 year
- Hapa nchini Uganda kuna wanyama wengi sana ivarama wengne sumbani wengine n wo porini.
- Funzo H: Kuandika insha kutokana na ufasiri wa michoro 10, 00:00
- Mimea Na Matunda Details 1 year
- Kuna mimea mbalimbali Kuna lle mimea tunayapanda na kula matunda majani au mizizi yoo.
- Funzo H: Kuandika insha kutokana na ufasiri wa michoro 10, 00:00
- Biashara Details 1 year
- Wowe kwa njia moja au nyingine umenunua au kuuza kitu fulani. Je, ni kitu gani ambacho ulinunua au kuuza? Je,ulinunua au kuuzia wapi kitu done? Sura hill, utakuwezesha kutambua na kutumia msamiati unaohusiana na biashara.
- Nyumba Details 1 year
- Kitu ambacho kila mtu anastahi kuwa nacho ili kuishi ni nyumba. Nyumba Huwa ni za aina mbalimbal na katika nyumba huo na vitu vind dors mwake
- Funzo 1: Kuandika Insha 10, 00:00
- SHULENI Details 1 year
- Elimu ni kitu muhimu kwa kila binadamu.
- Funzo J: Kuandika Insha 10, 00:00
- Michezo Details 1 year
- Maishani siku hizi, michezo imekuwa ya manufaa kwa nchi nying: Kuna aina nyingi sana ya michezo na yote hufurahisha washiriki na watazama was Je, wewe umewahi kushiriki katika mchezo wowote?
- Funzo K: Kuandika Insha 10, 00:00