• No products in the cart.

Mada kuu 4.4: Jinsia

Utangulizi Jinsia ni hali ya wanadamu kuwa wa kiume au wa kike kwa kuzingatia tofauti za kijamii na kitamaduni badala ya zile za kibiolojia. Je, wewe ni wa jinsia gani? Je, ni majukumu yapi yanayofaa kushughulikiwa na jinsia fulani? Mada hii itamwezesha kutambua na kutumia msamiati unaohusiana na jinsia pamoja na vipengele vya lugha mbalimbali.

ASSIGNMENT : Mfano wa Shughuli jumlishi: Jinsia MARKS : 10  DURATION : 1 week, 3 days

 

Courses

Featured Downloads