Stadi: Kuandika
Shughuli 8.7: Kuandika insha ya bajeti.
Katikia makundi,
Mfano wa Shughuli jumlishi:
Tarehe ya siku ya kuzaliwa kwako inakaribia. Umetolewa pesa kutoka benki na umepewa jukumu la kuandika vitu vyote ambavyo unafikiri vitatumika nyumbani kwenye siku hiyo, Unatarajia watu wote kwa ujumla ambao watakuwa kwenye sherehe yako hiyo kuwa ishirini. Andika insha ya maelezo yenye bajeti ya vitu ambavyo utahitaji kununua kwa ajili ya sherehe hiyo kwa kuonyesha bei ya kila bidhaa. Katika insha yako, fafanua pia vile sherehe itakavyoanza na vile itakavyoisha.
Muhtasari wa mafunzo ya mada
Katika mada hii, umejifunza,
Kutambua msamiati wa pesa na malipo mbalimbali.
Kueleza umuhimu wa pesa pamoja na madhara yake.
Kusoma insha kuhusu huduma za benki.
Kutumia kishirikishi —ndi na o-rejeshi katika sentensi.
Kubainisha vivumishi visisitizi vya ngeli mbalimbali pamoja na
kuvitumia katika sentensi.
Kufurahia na kubuni vichekesho.
Kuandika insha
4(a) what are your roles as citizen of Uganda? (b) Each and every individual in…
3(a) why do we political Eduction in the New Uganda curriculum? (b) Explain the roles…
2(a) Describe the creation story in relation to the origin of man. (b) Explain why…
Leave a Comment