Kuandika Insha
‘ ‘{Stadi: Kusikiliza, kuzungumza na kuandika
Shughuli 6.10: Kuandika insha.
Katika makundi,
I. Jadiliana na wenzako darasani kuhusu safari yako iliyokupendezasana.
Mfano wa Shughuli jumlishi:
Mwaka jana ulishinda tuzo la kuwa mwanafunzi mwenye adabu kushinda wanafunzi wengine shuteni. Shule yako ilikuandalia safari ya kutembelea nchi mojawapo ya Afrika Mashariki. Andika hadithi ya kubuni kuhusu nchi ambayo ulitembelea, aina za usafiri pamoja na vyombo vya usafiri ulivyotumia katika
safari yako. Ni vyombo gani vingine vya usafiri ulivyoona katika safari yako? Kwa nini uliamua kutumia aina hiyo ya usafiri na vyombo hivyo.
Muhtasari wa mafunzo ya mada
Katika mada hii, umejifunza,
Kutambua vyombo vya usafiri.
Kubainisha aina za usafiri.
Kutambua msamiati wa usalama barabarani.
Kueleza maana ya taa za barabarani.
Kusoma insha kuhusu usafiri na kujibu maswali.
Kutambua matumizi ya upatanisho wa kisarufi wa nomino za
ngeli ya I-Zi.
Kutambua matumizi ya vivumishi viashiria katika sentensi.
Kutambua matumizi ya viunganishi katika sentensi.
Kuanzisha na kukamilisha methali zinazohusu usafiri.
Kuandika insha.
4(a) what are your roles as citizen of Uganda? (b) Each and every individual in…
3(a) why do we political Eduction in the New Uganda curriculum? (b) Explain the roles…
2(a) Describe the creation story in relation to the origin of man. (b) Explain why…
Leave a Comment