Kuandika insha: Mawasitiano

Kuandika insha ya barua.

  1. Andikeni barua ya kirafiki kwa mtu yeyote unayempenda.Mmwambie kuhusu masomo yako shuleni na umwombe aje kukuona kwenye siku ya kutembelea wanafunzi shuleni. Mwombe pia akuletee vitu mbalimbali unavyotaka.

Mfano wa Shughuli jumlishi:
Mwalimu mkuu amewaambia kuhusu mkutano wa wazazi ambao utafanyika tarehe kumi na mbili mwezi ujao saa tatu kamili asubuhi. Amewaomba kuwajulisha wazazi wenu kuhusu mkutano huo.
Kwa majibizano yasiyopungua kumi, andika mazungumzo ya simu ukiongea na mzazi wako ukimjulisha juu ya mkutano huo pamoja na kuzungumzia masuala mengine kati ya mwana na mzazi.

Muhtasari wa mafunzo ya mada
Katika mada hii, umejifunza,
Kutambua msamiati wa vyombo vya mawasiliano.
Kuigiza mazungumzo ya simu.
Kusoma makala yanayohusu matumizi ya Simu.
Kutambua vivumishi virejeshi na kuvitumia katika sentensi.
Kubaini visawe mbalimbali.
Kutambua semi tofauti na kueleza maana yake.
Kutambua utaratibu wa kuandika insha ya barua ya kirafiki.
Kuandika insha ya barua.

tumugonze Timothy

Leave a Comment
Share
Published by
tumugonze Timothy

Recent Posts

S.1 CHEMISTRY EXAM 2023

12 months ago

QUESTION 4

4(a) what are your roles as citizen of Uganda?   (b) Each and every  individual in…

1 year ago

QUESTION 3

3(a) why do we political Eduction in the New Uganda curriculum?    (b) Explain the roles…

1 year ago

QUESTION 2

2(a) Describe the creation story in relation to the origin of man.    (b) Explain why…

1 year ago