• No products in the cart.

LSC: SENIOR TWO KISWAHILI

Kuandika insha:Mwili wa Binadamu

Kubainisha msamiati wa ulemavu. Kusoma na kukariri shairi kuhusu sehemu za mwili. Kutunga sentensi za upatanisho wa kisarufi wa ngeli za LI-YA, KI-VI, na U-l zinazotaja sehemu za mwili. Kutaja na kutumia viwakilishi vya nafsi katika kutunga sentensi. Kubuni hadithi Kuandika insha.

Kuandika insha kuhusu namna ya kudumisha usafi.Katika makundi,Shirikiana katika kuandika insha mkieleza kuhusu jinsi mnavyodumisha na kuendeleza usafi wa miili …

10Maximum Marks

ENDED Time Remaining Hours Minutes

Featured Downloads