Mfano wa Shughuli jumlishi: Jinsia

Katika jamii yako, kuna watoto wawili mayatima. Kati ya watoto hawa, mmoja ni mvulana na mwingine ni msichana. Walezi wao wanapanga kuuza mali ya mayatima hawa. Walezi hawa wameshamwambia msichana kwamba wamemtafutia mwanamume wa kumwoa na kwa hivyo asirudi shuleni. Mvulana pia wanataka kumtoa shuleni ili wamwajiri kama mfanyakazi katika shamba lao la nyumbani. Watoto hao ni rafiki zako kwa sababu mlisoma pamoja katika shule ya msingi.

Mfano wa Shughuli jumlishi: Jinsia 1

Wewe kama mtetezi wa haki za binadamu, andaa onyo kwa wanajamii wote kuhusu ukiukaji wa haki za kijinsia huku ukiwalenga walezi wa rafiki zako.

Magembe Solomon

Leave a Comment
Share
Published by
Magembe Solomon

Recent Posts

NLSC. Chemistry-Engaging Assignments for the New Lower Secondary Curriculum

NLSC. Chemistry-Engaging Assignments for the New Lower Secondary Curriculum Assignment 1: Chemical Bonding Scenario: You…

2 weeks ago

QUESTION 4

4(a) what are your roles as citizen of Uganda?   (b) Each and every  individual in…

1 year ago

QUESTION 3

3(a) why do we political Eduction in the New Uganda curriculum?    (b) Explain the roles…

1 year ago