Kila mwaka, Shule yenu huandaa tamasha la kitamaduni. Wanafunzi huombwa kutunga na kutengeneza mavazi kutoka jamii zao kwa ajili ya tamasha hii ya kitamaduni. katika Tamasha hii, maonyesho ya mavazi ya kila jamii huonyeshwa na mengine kuuzwa. Mshindi wa utengenezaji wa € mavazi hutuzwa.
Mfano wa Shughuli jumlishi
Aindika insha juu ya tamasha ya Kitamaduni uliyohudhuria shuleni kwenu na
kuonyesha mavazi na mapambo yaliyojitokeza.
Katika mada hii, umejifunza:
Msamiati wa mavazi mbalimbali
Mavazi yanayovaliwa na tamaduni mbalimbali
Mapambo mbalimbali yanayotumiwa na watu
Kueleza aina tofauti za watu wanaotumia mapambo mbalimbali
Kusoma makala na kujibu maswali
Kutumia vivumishi vya ki ya mfanano kutunga sentensi
Wakati usiodhihirika, autumie katika sentensi halafu azikanushe.
Kuchanganua semi mbali mbali na kueleza maana zake
Hatua za kuandika insha ya mdokezo
Kuandika insha ya mdokezo
4(a) what are your roles as citizen of Uganda? (b) Each and every individual in…
3(a) why do we political Eduction in the New Uganda curriculum? (b) Explain the roles…
2(a) Describe the creation story in relation to the origin of man. (b) Explain why…
Leave a Comment