Kuna tetesi kwamba kuna jamii mbili ambazo zinapanga kuvamiana kwa ajili ya mashambulizi. Taarifa zaidi zinasema kwamba siku hizi vijana wa jamii hizo mbili, wanajiandaa kwa mashambulizi hayo kwa kunoa mikuki, mapanga na kutengeneza marungu. Tena ni bayana kwamba watu wa jamii hizi mbili wamezozana kwa muda mrefu. Wanaibiana ng’ombe na mavuno mashambani. Kwa hivyo, inasemekana kwamba wamefikia wakati na hawawezi kuvumiliana tena.
Mwandikie barua mkuu wa polisi wa mkoa wako ukimjulisha juu ya tetesi hizo pamoja na athari zinazoweza kutokea na kisha umshauri juu ya mwelekeo.
4(a) what are your roles as citizen of Uganda? (b) Each and every individual in…
3(a) why do we political Eduction in the New Uganda curriculum? (b) Explain the roles…
2(a) Describe the creation story in relation to the origin of man. (b) Explain why…
Leave a Comment