Mfano wa Shughuli jumlishi: Rasilimali

Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Uganda (UNMA) imetoa ripoti ya mwaka uliopita kuhusu mabadiliko ya hali ya anga nchini Uganda. Katika ripoti, imegundulika kwamba hali ya joto inazidi kuongezeka kila uchao. Jambo hili linahofiwa kusababisha uharibifu wa tabaka la ozoni angani. Ripoti pia imedokeza kuwa ni bayana kwamba matumizi mabaya ya rasilimali mbalimbali ndiyo yamechangia pakubwa ongezeko la joto.

Suala hili limechangia ukosefu wa mvua na kurefusha muda wa kiangazi. Shule yenu imeandaa warsha ya uhamasishaji wa wanajamii kuhusu matumizi bora ya rasilimali mbalimbali na utunzaji wa mazingira.

Rasilimali

Andika tangazo ukiita wanajamii kuhudhuria warsha hiyo.

Magembe Solomon

Leave a Comment
Share
Published by
Magembe Solomon

Recent Posts

QUESTION 4

4(a) what are your roles as citizen of Uganda?   (b) Each and every  individual in…

1 year ago

QUESTION 3

3(a) why do we political Eduction in the New Uganda curriculum?    (b) Explain the roles…

1 year ago

QUESTION 2

2(a) Describe the creation story in relation to the origin of man.    (b) Explain why…

1 year ago