Hali na vitendo vya kizalendo havifai kudhihirika kwa viongozi tu ila ni wajibu wa kila mtu kuwa mzalendo katika nchi yake. Umechaguliwa na mwalimu mkuu wa shule yako kuwahamasisha wanafunzi wenzako kuhusu jinsi ya kuishi kama wazalendo katika jamii zenu na katika nchi yenu.
Andika hotuba ambayo utawasilisha kwenye mkusanyiko wa wanafunzi wote katika shule yako ukiwahimiza kuwa wazalendo.
4(a) what are your roles as citizen of Uganda? (b) Each and every individual in…
3(a) why do we political Eduction in the New Uganda curriculum? (b) Explain the roles…
2(a) Describe the creation story in relation to the origin of man. (b) Explain why…
Leave a Comment