Habari kutoka wilaya jirani zimesikika kwamba kumepatikana aina nyingine ya kirusi cha korona ambacho kinahofiwa kuwa hatari zaidi. Aidha, wiki iliyopita kuna mwanafunzi mmoja aliyehofiwa kuwa aliugua ugonjwa wa kipindupindu shuleni kwenu.
Tangu wakati huo, mwanafunzi huyo alipelekwa hospitalini. Wanafunzi wengi shuleni wameanza kujawa na hofu kuhusu magonjwa hayo ya kuambukizwa. Umechaguliwa na walimu kuwa miongoni mwa wale watakaozungumza na wanafunzi kuhusu jinsi wanavyoweza kuepukana na magonjwa ya hatari kama hayo na mengine ya kuambukiza kama vile UKIMWI.
Andika hotuba utakayotoa kwa wanafunzi watakapokusanyika katika ukumbi mkuu wa shule.
4(a) what are your roles as citizen of Uganda? (b) Each and every individual in…
3(a) why do we political Eduction in the New Uganda curriculum? (b) Explain the roles…
2(a) Describe the creation story in relation to the origin of man. (b) Explain why…
Leave a Comment