Shughuli Jumlishi Pendekezwa juu Jumuiya ya Afrika Mashariki


Miaka kama kadhaa iliyopita, Muungano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ulizinduliwa. Muungano huo ulianzishwa na nchi tatu na baadaye nchi nyingine zikajiunga na muungano huo. Imetimia zaidi ya miaka kumi tangu muungano wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki uwepo na bado unaendelea,
ingawa kuna changamoto na vikwazo ambavyo vinautinga.

Shughuli Jumlishi Pendekezwa juu Jumuiya ya Afrika Mashariki 1

Mfano wa Shughuli jumlishi
Tunga shairi la beti 4 kuhusu jumuiya ya Afrika Mashariki na kulikariri.

Muhtasari wa mada
Katika mada hii, umejifunza:
Kukariri wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Ujumbe unaopatikana katika wimbo wa Afrika Mashariki
Nchi zinazounda jumuiya ya Afrika Mashariki
Umuhimu wa muungano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Kusoma makala na kujibu maswali
Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi virejeshi
Kutunga sentensi ukitumia udogo na ukubwa wa nomino
Vinyume vya vitenzi na avitumie kutunga sentensi
Mafumbo mbalimbali
Hatua mwafaka za uandishi wa insha ya maelezo
Insha kuhusu Jumuiya ya Afrika Mashariki

tumugonze Timothy

Leave a Comment
Share
Published by
tumugonze Timothy

Recent Posts

QUESTION 4

4(a) what are your roles as citizen of Uganda?   (b) Each and every  individual in…

1 year ago

QUESTION 3

3(a) why do we political Eduction in the New Uganda curriculum?    (b) Explain the roles…

1 year ago

QUESTION 2

2(a) Describe the creation story in relation to the origin of man.    (b) Explain why…

1 year ago