Mada kuu 4.6: Magonjwa
Ugonjwa ni hali ya kukosa afya nzuri na utendaji unaostahiki ndani ya mwili wa mwanadamu. Kuna magonjwa ya aina mbalimbali na kila ugonjwa una dalili zake. Je, ni magonjwa yapi unayoyajua? Je, unaweza kutambua dalili yoyote ugonjwa wowote?
ASSIGNMENT : Mfano wa Shughuli jumlishi:Magonjwa MARKS : 10 DURATION : 1 week, 3 days