• LOGIN
  • No products in the cart.

NGELI YA I-ZI

Majina katika ngeli hii hutumia upatanisho wa kisarufi wa i-zi katika umoja na wingi mtawalia. Majina katika ngeli hii, huanza na “n-” katika umoja na wingi. Yaani majina haya hayabadiliki katika wingi.

Nouns in this group begin with “n-” and have the same form for both singular and plural.

Umoja Wengi
Nyumba             (a house)

Nguzo               (a pillar)

Njugu              (a groundnut)

Ngazi               (a ladder)

Ndizi              ( a lip of banana)

Ndoo              (a bucket )

Nyama           (a piece of meat)

Nyota            ( a ster)

Njia                (a way path)

Nafasi             (space /opportunity)

Nyumba (houses)

Nguzo (pillars)

Njugu (groundnuts)

Ngazi (ladders)

Ndizi (lips of bananas)

Ndoo (buckets)

Nyama (pieces of meat)

Nyota (stars)

Njia   (ways paths)

Nafasi  (opportunities)

 

Malizia wingi wa maneno yafuatayo (Complete the plural for the following words)

 

  1. Nyika ( a burren land )
  2. Nta (wax)
  3. Nchi (land/country)
  4. Nyundo (a clew/hummer)
  5. Ngozi (a skin/hide)
  6. Nguo (cloth)
  7. Nafaka (a grain of a cerial)
  8. Ndoto (a dream)
  9. Ndoa (marrage)
  10. Njaa (hunger/famine)
  11. Nundu (a humb)
  12. Ndui (smallpox)
  13. Ngano (wheat)
  14. Nguvu (strength/power)
  15. Ngoma (a dram/dance)
  16. Nyanya (a tomato)
  17. Nuru (anillumination)
  18. Njuga (an ankle bell)
  19. Nira (a yoke)
  20. Nasibu (a chance)

 

The following nouns also belong to “N-“group though they do not begin with letter “n”. The reason for putting them under this group of nouns is that “n” has been dropped before the letters with which those nouns start. They have the same form for both singular and plural forms.

 

Adabu    (manner)

Adhabu (a punishment)

Alama (a sign/mark)

Amri (anorder/command)

Arusi (a banquet/wedding)

Asali    (honey)

Bahari  (a sea/ocean)

Bahati (a fotune/luck)

Bandera (a flag)

Barabara (a road)

Barua   (a letter)

Bei (a piece)

Bibilia (a Bible)

Birika (a kettle)

Bunduki (a gun)

Bustani (a garden)

Chapa  (a trade mark/brand)

Cherehani (a sawing machine)

Chuki  (hatred)

Chumvi (salt)

Chupa  (a battle)

Darubini (a telephone/microscope)

Desturi (a custom)

Dhoruba (a storm)

Dira (a campass)

Elimu (knowledge/education)

Faida (profit)

Fedha (money)

Fimbo (a stick)

Firimbi (a wistle)

Furaha (happiness/joy)

Gharama (an expense)

Hadith   (a story)

Hatua  (a stride/step)

Herufi  (a letter e.g. a, b)

Hofu (a worry/fear)

Homa (malaria)

Hotuba (a speech/sermon)

Hukumu (judgement)

Huruma (kindness)

Huzuni (sorrow)

Jasho (sweat)

Kalamu (pen/pencil)

Kamba (a rope)

Kamusi (a dictionary)

Karata   (a playing card)

Karatasi (a piece of paper)

Kazi (a work/a job)

Kiu (thirst)

Kodi (a tax)

Kufuli (a padlock)

Kuma (a kuma)

Kuma (a vagina)

Likizo (a holiday)

Lugha (a language)

Maana (meaning)

Mashua (a boat)

Mbegu (seed)

Mbiu (a megaphone)

Mbolea (manure)

Mboo (a penis)

Mbuga (grassland)

Meli (a steamer ship)

Meza (a table)

Mvi (a grey hair)

Mvua (rain)

Pamba (cotton)

Pembe (a horn)

Pesa (money)

Pombe (bear)

Risasi   (bullet)

Roho (a soul)

Safari (a journey)

Sahani   (a plate)

Salamu (a greeting)

Serikali (a government)

Siku (a day)

Sindano (a syringe/needle)

Siri (a secret)

Sufuria (a saucepan)

Sukari (sugar)

Suruali (a pair of trousers)

Taa (a lamp)

Tauni (plague)

Tufani (a whirlwind)

 

In Kiswahili, words that are borrowed from other languages especially from English are put in the N group. The following are some of the words.

Baiskeli (a byscle)

Eroplani (an aeroplane)

Faili (a fail)

filamu (a film)

Kesi (a case)

koti (a court/coat)

maili (a mile)

Mashine (a machine)

Motokaa (a vehicle)

neva (a verve)

Picher (a picture)

redio (a radio)

reli (a rail)

rikodi (a record)

Saini (a signature)

sinema (a cinema)

stesheni (a station)

taputreta (a typriter)

televisheni (a television)

Wiki (a week)

 

Upatanisho wa kisarufi

Majina Vimilikishi Vionyeshi Kuwa Vivumishi
umoja wingi umoja wingi umoja wingi umoja wingi
Nyumba

 

Nyota

 

Habari

 

Kamba

 

 

kalamu

nyumba

 

nyumba

 

habari

 

 

kamba

 

 

kalamu

yangu

yetu

 

yako

 

yenu

 

yake

 

yao

 

 

zangu

zetu

 

zako

 

 

zenu

 

zake

 

zao

 

hii

 

 

ile

 

 

 

 

hiyo

Hizi

 

 

zile

 

 

 

 

hizo

 

 

 

ni

 

 

 

 

 

si

ndogo (small)

 

nzuri (good)

 

ndefu (long)

 

ngumu (hard)

ndogo

 

 

nzuri

 

ndefu

 

 

ngumu

 

Sentensi

  1. Nyumba hii ni ndogo                              (This house is small)
  2. Kamba ile si ndefu sana.                        (That rope is not very tall)
  3. Nyumba chafu hiyo ni ya baba yetu .  (That good house is mine)
  4. Kalamu nzuri ile si yetu.                        (That good pen is not ours)

Sentensi katika wingi

  1. Nyumba hizi ni ndogo                             (These houses are small)
  2. Kamba zile si ndefu sana                        (Those ropes are not very long)
  3. Nyumba chafu hizo ni za baba zetu.     (Those dirty houses are for our fathers)
  4. Kalamu nzuri zile si zetu.                        (Those good pens are not ours)
 

Courses

Featured Downloads