• LOGIN
  • No products in the cart.

NGELI YA PA-KU-MU

This class shows different places.

Ngeli Nomino Vimilikishi Vionyeshi kuwa Vivumishi
PA pahali Pangu/petu, pako /penu

Pake/ pao

Hapa, hapo, pale

 

Ni/si Pazuri, pabaya, pachafu
KU Shule barabara

shamba

kwangu/kwetu, kwako/kwenu,

kwake/kwao

 

Huku, huko,kule

 

 

Ni/si

 

Kuzuri, kubaya, kuchafu
MU Chumbani

Shuleni

kaburini

Mwangu/kwetu

Kwako/kwenu

Kwake/kwao

Humu, humo, mule

 

Ni/si Mzuri,mbaya,mchafu

 

  1. Pahali pangu panapendeza. (My place is looking nice)
  2. Shule yatu ni kuzuri (Our school is good)
  3. Chumbani mwangu mnapendeza. (My room is looking nice)
  4. Shuleni mle ni mchafu. (That school is dirty inside)
  5. Pahali pale ni patanuka (That place will smell)
  6. mimi nilisomea shuleni pazuri (I studied from a good school)
 

Courses

Featured Downloads